iqna

IQNA

Adnan Abou Walid al-Sahrawi
TEHRAN (IQNA)- Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa jeshi la nchi yake limemuangamiza Adnan Abou Walid al-Sahrawi , kinara wa tawi kundi la kigaidi la ISIS au Daesh Magharibi mwa Afrika (ISWAP).
Habari ID: 3474302    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/16